Yule waziri bingwa wa kuchapa usingizi bungeni, Stephen Wassira aumbuka kwa mara nyingine

Katika kipindi kisichozidi wiki moja, Waziri Stephen Wassira amekuwa akipotosha umma kwenye kampeni za uchaguzi mdogo huko Arumeru Mashariki. Wa kwanza kumchafua ni mgombea ubunge jimbo la Arumeru Masharaki, bwana Joshua Nassari na wa Pili ni katibu mkuu wa Chadema Dr. Wilbroad Slaa. Madai ya wassira yalipingwa hadharani kama ifuatavyo: “KANISA Katoliki nchini limemtaka Waziri […]

KIKWETE AUMBUKA, LOWASSA AWEKA MAMBO HADHARANI, NI KUHUSU KASHFA YA RICHMOND!

“Mwenyekiti utakumbuka kwamba mimi nilishaamua kuvunja mkataba wa Richmond mapema, lakini baada ya kukupigia simu ukiwa katika safari nje ya nchi ulisema tusubiri kwani ulikuwa umepata ushauri wa makatibu wakuu wa wizara, sasa leo hii ninahukumiwa nakuitwa fisadi kwanini?”. “Nilijiuzulu kuwajibika kwa ajili ya kuilinda Serikali yangu na kwa heshima ya chama changu, sasa kwanini […]

” The Truely Educated Never Graduate: Kwa bahati mbaya kinyume chake ni sahihi kwa watawala ukipenda waite viongozi, barani Afrika!

    Asante Profesa Masangu Matondo wa blogu ya (http://matondo.blogspot.com) kwa kunikumbusha quote hii muhimu, japo sikumbuki ni great thinker gani aliyeandika kwa mara ya kwanza. Utaniwia radhi najua  huwa hapendi kuitwa kwa TITLE ya Dr/Profesa, tofauti na Ma Dr. na Professa wengi uchwara. Nimepata mzuka wa kuandika maandishi haya  pale nilipotembela blogu makini ya […]

Ujumbe mzito! serikali imeibiwa milioni 4, tume ya uchunguzi inatumia milioni 12!

Ujumbe huu umenigusa mno, nimeukuta pale www.wavuti.com. Marehemu Dr. Remmy  alistahili kutunikiwa  shahada ya Udaktari wa falsafa wa heshima (honoris causa) kwa mchango wake kupitia mziki. Dr. Remmy anakuambia “Serikali inaibiwa milioni 4, tume ya uchunguzi inatumia milioni 12″ anaendelea kusisitiza kupitia wimbo wake ” MREMA), “Mrema nakushauri fika Mwanza: Mwarabu na Pajero, Wasukuma na […]